2 Chronicles 11:17

17 aWakaimarisha ufalme wa Yuda na kumuunga mkono Rehoboamu mwana wa Sulemani miaka mitatu, wakienenda katika njia za Daudi na Sulemani katika wakati huu.

Jamaa Ya Rehoboamu

Copyright information for SwhKC